Karibu katika blog yetu upate kutangaza michezo, burudani pamoja na shughuli mbalimbali za kimichezo.
Katika Blog yetu Huduma zifuatazo tunatoa kwa wateja wetu:-
- Tunamsaidia mteja katika kuweka matangazo yake ya michezo mbali mbali hasa katika uringo wa mpria wa miguu,pete, tenesi nakadharika hapa kwa ajiri ya kuyatangaza mahali popote duniani ambapo blog yetu ( msemakwel.blogspot.com) hutembelewa na wateja wake wakiwa katika Internet
- Tunakusaidia wewe kama mteja wetu kutambua Matukio mbalimbali Mapya na yaliyowahi kujiri na yanayojiri duniani kila siku yahusuyo michezo na burudani.
- Pia tunawapa nafasi ya kujiunga na Mitandao kadhaa ya kijamii kama Facebook na twitter kwa ajiri ya kuwakutanisha na marafiki zenu mbalimbali waliopo duniani kwa njia ya kushare