MATANGAZO

Karibu katika blog yetu upate kutangaza biashara, sherehe, na shughuli mbalimbali.
Katika Blog yetu Huduma zifuatazo tunatoa kwa wateja wetu:-
  1. Tunamsaidia mteja katika kuweka matangazo yake hapa kwa ajiri ya kuyatangaza mahali popote duniani ambapo blog yetu ( msemakwel.blogspot.com) hutembelewa na wateja wake wakiwa katika Internet.
  2. Tunakusaidia wewe kama mteja wetu kutambua Matukio mbalimbali Mapya na yaliyowahi kujiri na yanayojiri duniani kila siku.
  3. Pia tunawapa nafasi ya kujiunga na Mitandao kadhaa ya kijamii kama Facebook na twitter kwa ajiri ya kuwakutanisha na marafiki zenu mbalimbali waliopo duniani kwa njia ya kushare.

No comments: