BAKURUTU & NYIMBO ZA ASILI


Karibu katika blog yetu upate kutangaza Muziki wako wa aina ya zuku,rumba na nyimbo nyingine za asili pia shughuli mbalimbali zinazohusiana na mziki wa bakurutu na nyimbo za asili.
Katika Blog yetu Huduma zifuatazo tunatoa kwa wateja wetu:-
  1. Tuna mpa fursa mteja wetu kuweka nyimbo zake hapa za audio na vieo kwa ajiri ya kuzitangaza na kujitangaza yeye mwenyewe.
  2. Tunamsaidia mteja katika Kuptafuta na kupakua nyimbo za aina mbalimbali hususani za bakurutu na za asili ili kuweza kufurahia aina hii ya muziki
  3. Tunakusaidia wewe kama mteja wetu kutambua Matukio mbalimbali Mapya na yaliyowahi kujiri na yanayojiri duniani kila siku yanayohusu muziki wa aina hii ya bakurutu na asili.
  4. Pia tunawapa nafasi ya kujiunga na Mitandao kadhaa ya kijamii kama Facebook na twitter kwa ajiri ya kuwakutanisha na marafiki zenu mbalimbali waliopo duniani kwa njia ya kushare

No comments: